Siku ya hivi karibuni nilikwenda kwenye shoo ya 'stand up comedy' inayoitwa All Stars ambayo iliandaliwa kama sehemu ya ...
Umati wa maofisa wa polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamekacha na kujiunga na kundi la waasi la M23, huku ...
Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO) imebuka mshindi katika ...
Hali ni mbaya kwa Kocha Mkuu wa Fountain Gate, Mkenya Roberto Matano baada ya kikosi hicho kuchapwa juzi bao 1-0, dhidi ya ...
Simba imetamba leo itaendeleza Ubaya Ubwela pale ilipoishia wakati itakapokuwa wenyeji wa Dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC, ...
Vatican imesema Papa Francis bado yuko katika hali mahututi, huku vipimo vya damu vikionyesha kuwa ameanza kuonyesha dalili ...
Wakati baadhi ya wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiendelea na ...
Moyo wa kimapinduzi wa X ni zawadi ya asili, lakini kichocheo ni maisha ya ubaguzi na manyanyaso ambayo yeye na jamii yote ya ...
Juma Mohamed, mmoja wa madereva waliokuwepo eneo la tukio, ameiambia Mwananchi kuwa wavamizi hao waliwataka madereva wawape ...
Mchome, ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, amesema uteuzi wa vigogo hao uliidhinishwa bila akidi ya kikao cha baraza kuu kutimia. Utafiti huu unayeyusha dhana ...
Kwa mfumo huu mpya wa ada, gharama zinazohusiana na kupata cheti cha afya ya mazao na ukaguzi zimeongezeka kwa kiasi kikubwa.
Dk Mwasaga amesisitiza kuwa mpango huo utaimarisha uchumi wa kidigitali unaojitegemea na kupunguza utegemezi wa teknolojia za kigeni.