Unaambiwa licha ya Jay-Z kuwa mwanamuziki tajiri zaidi duniani, lakini muziki wake unachangia kwa asilimia tatu pekee kwenye ...
Hivi karibuni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia alisema wanaandaa kanuni ambayo msimu ujao hakuna klabu ...
Ushawahi kujiuliza katika wimbo wa Mwana FA 'Bado Nipo Nipo' ni sauti ya mrembo yupi anayeuliza "Mwana FA unaoa lini?", basi ...
ACT- Wazalendo kilifungua mashauri tisa katika Mahakama ya Wilaya ya Kigoma kupinga uchaguzi wa wenyeviti wa Serikali za ...
Waumini wawili wanawake, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30) kwa sasa wanauguza majeraha baada ya kutandikwa viboko na ...
Tangu Russia itangaze kuanzisha operesheni yake ya kijeshi nchini Ukraine imeyatwaa maeneo ya mkoa wa Donetsk, Luhansk, ...
Siku ya hivi karibuni nilikwenda kwenye shoo ya 'stand up comedy' inayoitwa All Stars ambayo iliandaliwa kama sehemu ya ...
Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO) imebuka mshindi katika ...
Umati wa maofisa wa polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamekacha na kujiunga na kundi la waasi la M23, huku ...
Simba imetamba leo itaendeleza Ubaya Ubwela pale ilipoishia wakati itakapokuwa wenyeji wa Dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC, ...
Hali ni mbaya kwa Kocha Mkuu wa Fountain Gate, Mkenya Roberto Matano baada ya kikosi hicho kuchapwa juzi bao 1-0, dhidi ya ...
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Musoma imemuachia huru, Zilipa Makondoro, aliyekuwa ameshtakiwa kwa kosa la kujaribu kumuua, George Kaloko kwa kumjeruhi kwa kutumia jembe kichwani.