Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Musoma imemuachia huru, Zilipa Makondoro, aliyekuwa ameshtakiwa kwa kosa la kujaribu kumuua, George Kaloko kwa kumjeruhi kwa kutumia jembe kichwani.