Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewataka watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kutowakwamisha wananchi ...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala kimewaonya wanachama walioanza kampeni kabla ya wakati na kutahadharisha kuwa ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeiagiza Serikali kuongeza maeneo ya huduma za kijamii katika Soko la ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Kampuni zinazohusika na ...
Katika mafunzo hayo yaliyofanyika juzi Mbunge Chege na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rorya, Ongujo Wakibara ambao wanadaiwa ...
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha ...
Mkurugenzi Mtendaji wa The Foundation for Civil Society (FCS), Justice Rutenge, Akizungumza na waandishi wa habari katika ...
Serikali imeitaka Bodi ya Wakurugenzi ya Tume ya Nguvu za Atomiki (TAEC) kuhakikisha inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ...
Klabu ya Singida Black Stars imemshauri aliyekuwa kocha wa timu hiyo Patrick Aussems kuanzisha timu kama anaguswa na soka ...
Operesheni maalumu ya kudhibiti fisi wakali na waharibifu wanaosababisha taharuki mkoani Simiyu imeonesha mafanikio makubwa ...
Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kinatarajia kutoa tuzo za viwanda na biashara kwa wanawake wajasiriamali ...
Fainali ya shindano la kusaka vipaji nchini Bongo Star Search (BSS) inatarajiwa kufanyika Februari 28, 2025, katika Ukumbi wa Ware Houseuliopo Masaki, Dar es Salaam. Akizungumza na Mtanzania Digital, ...