Habari Kitaifa Kimataifa Biashara Makala Michezo Kolamu Hadithi Picha Video Toleo Maalumu Zanzibar Ajira Sokoni Notisi Zabuni Mafumbo MwanaClick Contact us Web Mail ...
Geita. Licha ya changamoto mbalimbali zinazowakabili, ikiwemo kunyanyapaliwa, kutengwa na kunyang’anywa mali, wajane mkoani Geita wameshauriwa kutokukubali kurubuniwa kuingia katika ndoa nyingine kwa ...
Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linachunguza tukio la kupotea kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu anayeishi na wazazi wake Kata ya Mpela, Manispaa ya Tabora. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ...
Dar es Salaam. Ukiacha makundi ya vijana, wanazuoni, watumishi wa umma na wanataaluma mbalimbali, uchukuaji fomu za ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), umewaibua mawaziri kadhaa ambao pengine ...
Dar es Salaam. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Dorcas Francis jana Jumanne Septemba 30, 2025 ameendeleza na kampeni zake kwa mtindo wa ziara za kaya kwa ...
Wajumbe kupitia UWT Wilaya ya Geita ,wakiwa kwenyw ukumbi wa Shule ya Sekondari Nyankumbu wakisubiri kupiga kura kuchagua madiwani viti maalum. Geita. Wajumbe 3,000 wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha ...
Yaoundé. Brenda Biya, binti wa Rais wa Cameroon, Paul Biya, amewataka wananchi wa Cameroon kutompigia kura baba yake katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, akimlaumu kwa utawala usiofaa wa miaka 43 ...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi, akimkabidha moja ya vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, Tirdo Mhando wakati wa hafla ya ...
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai ...
Dar es Salaam. Miaka 10 ya Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ya kipekee machoni mwa Watanzania, kuanzia kwenye uteuzi wake hadi sasa anapoondoka katika ofisi ...
Dar es Salaam. Mabosi wa Yanga kwa sasa wako katika mchakato wa kusaka kocha mpya atakayeinoa timu hiyo kwa msimu ujao, baada ya Miloud Hamdi aliyeipa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2024-2025, ...
Mgombea Urais wa chama cha UDP Saumu Rashid akizungumza na wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katavya Nyankumbu Manispaa ya Geita. Geita. Mgombea urais wa Chama cha United Democratic ...